Friday 10 July 2015

BAGAMOYO - DAR MAWASILIANO YA USAFIRI YAKATIKA KWA MUDA

Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A Bunju B kuendelea ni balaa hata baiskeli hakuna wameshika mifagio na magongo na raia wako makini kuangalia kinachoendea. Kama ulikuwa na wazo la kusafiri leo kupitia Barabara hiyo (Bagamoyo Road),jaribu kwanza kufuatilia maendeleo ya sakata hili usijechoma mafuta bure.
Kituo cha Polisi Bunju B kikiteketea baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira kali.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako