Sunday 14 May 2017

WATOTO WALONUSURIKA KATIKA AJALI ARUSHA KWENDA MAREKANI KWA MATIBABU ZAIDI

Mbunge wa Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu amesema Ubalozi wa Marekani umetoa hati ya kusafiria (visa) kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi watatu wa Shule ya Lucky Vincent kupata matibabu nchini Marekani.Katika ukurasa wake wa Facebook leo Nyalandu amesema waliopata Visa ni wazazi,watoto na wataalamu wawili wa afya ambao watasafiri kwenda Marekani.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako