Friday 19 May 2017

SERENGETI BOZS U17 WAYIDI KUCHANJA MBUGA

Timu ya Taifa ya Vijana ya Serengeti Boys ambayo ipo Gabon sasa hivi inakogombea Ubingwa wa Afrika kwa Umri wa Miaka 17 na inaongoza kwenye kundi lake kwa Magoli 2 na Point 3, baada ya jana kuishinda Angola kwa Magoli 2-1.
Wafanyakazi wote wa DStv wavaa sare za Serengeti boys kama njia mojawapo ya kuwaunga mkono katika ushiriki wao katika michuano inayoendelea ya kombe la Afrika kwa wachezaji wa umri wa chini ya miaka 17 nchini Gabon.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako