Baada ya bao la Ronaldo dakika ya 50 na lile la NANI dakika ya 53, hatimae Timu ya Taifa ya Portugal imetinga fainali baada ya kuipiga Wales bao 2-0. Sasa Portugal inasubiri mshindi wa leo kati ya Germany na France ili kucheza nae Fainali.
TASAC YAENDELEZA ELIMU KWA WAVUVI
12 hours ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako