Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akitazama ramani ya utakaokuwa Terminal 3 ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa JN Dar es Salaam katika uzinduzi wa ujenzi wake ulofanyiika jana. Uwanja huo unajengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Uholanzi na watarajiwa kukamilika mwaka huu.
Kukata utepe katika uzinduzi wa ujenzi huo
TANZANIA YAHODHI KONGAMANO LA CAH-SSA 2026
12 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako