Baada ya kampeni za muda kuwania Ubunge Jimbo la Chalinze, hatimaye CCM kupitia mgombea wake Mhe. Ridhiwani Kikwete (mtoto wa kiume wa Rais Mhe. Jakaya Kikwete) amepata ushindi wa kishindo wa kura 20,812. Aliyemfuatiakutoka CHADEMA kapata kura 2,638. Uchaguzi huu umefanyika ili kuziba pengo la aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Marehemu Said Bwanamdogo.
Hongera Mhe Ridhiwani Kikwete, sasa kawatumikie wana Chalinze.
DKT. MWIGULU AKAGUA MAENDELEO MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
38 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako