Wednesday 23 April 2014

BUNGE LA KATIBA=TAZAMENI HAWA MNAPOJADILI KATIBA MPYA

Wananchi wakiwa wavumilivu kuwasikiliza mjapo kutoa sera zenu. Hapa wanadiriki kujificha mvua kwa viti ambavyo hata hivyo inawalowanisha tu. Je, mnawatimizia matakwa yao huko Bungeni?
Mzee huyu miaka nenda rudi anatafuta hela kukidhi mahitaji yake walau hata kiatu cha kusitiri mguu wake. Kodi yake mnaitumiaje huko Bungeni?

2 comments:

  1. Katiba inaweza ikasaidia kuyapunguza hayo, kama ufuasi, na umimi utaondolewa, kukiwekwa vipengele vya kuwabana viongozi, nina imani ipo siku tutafanikiwa. Lkn, je ni nani wa kumfunga paka kengele.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa mawazo mazuri @ Emu_three. Ni muhimu sana kwa wajumbe kuona hili

    ReplyDelete

Maoni yako