Sunday 6 April 2014

JUMAPILI NJEMA WADAU : IMANI YAWEZA

MTOTO WA MIAKA NANE APONYA WATU HUKO BRAZIL KWA KUWAOMBEA NA KUKEMEA PEPO KWA JINA LA YESU
Binti Alani Santos wa Mji wa San Gonzalo huko Brazil anasadikiwa kuwa na kipaji cha kuombea watu wanaosumbuliwa na matatizo mbali mbali kwa jina la Yesu nao wakapona. Mtoto huyo ambaye huwa anafanya hivyo katika kanisa ambalo Baba yake ni Mchungaji, amewashangaza watu wengi kwa uwezo huo alopewa na Mungu.

Hapa Binti huyu akimwombea mama mgonjwa

1 comment:

Maoni yako