Viatu na pochi (wanawake)
Ubunifu huu mkubwa unafanywa na KIM FASHION DESIGN ambao wanapatikana NAFASI ARTSPACE karibu na ITV Mikocheni. Kama wahitaji kupata viatu au mikoba hii wasiliana nao hapa +255 714 76 83 98
viatu mwanana vya kiume
JAB YAWEKA SHARTI LA ITHIBATI SAMIA KALAMU 2026
26 minutes ago




Hii ni safi sana, nimependa, Tanzania tuna kila la kujivunia kwa tulivyo navyo
ReplyDeleteNi kweli kabisa. Ni motisha na fursa kufunguliwa zaidi
ReplyDelete