Thursday 16 January 2014

"FRESH" KUTOKA SHAMBANI/BUSTANINI

Haya ni maboga huko Nangulukulu kusini mwa Tanzania. Hapa wafanyabiashara wanaonekana wakiuza mazao haya mazuri ya shamba,lakini pembeni kuna lundo la uchafu kitu kinachochangia matatizo mengi ya kiafya. Tukumbuke kuweka mazingira yetu kwa usalama wa afya zetu.

1 comment:

  1. Nimetamani kweli hayo maboga na hapo pembwni naona kama matembele..ila kweli inakatisha tam,aa kwa mteja kuona mazingira kama haya

    ReplyDelete

Maoni yako