Friday 3 January 2014

BENKI KUU TANZANIA YATOA SARAFU YA 50,000

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000. Sarafu hiyo haitaingizwa kwenye mzunguko wa fedha wala kutumika kwa malipp yoyote. Habari zaidi angalia www.dj sek.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Maoni yako