Friday 3 January 2014

KILA JAMBO KWA KIPIMO

Ni mwanzo tu wa mwaka 2014. Itakuwa jambo zuri kujipima kiutendaji na pale unapoona pana upungufu ni busara kutafuta mbinu za kufanikiwa zaidi binafsi na hata ikibidi kuomba ushauri. Si busara sana kung'ang'ania jambo ambalo yaonekana huwezi kwa kipimo cha uwezo wako mwenyewe. Kuna mwenzio anaweza zaidi,mpe nafasi ya kukusaidia aidha mbinu au hata kutekeleza kwa ushirikiano. Ubinafsi sio tija mwaka 2014.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako