Pichani ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda(Kushoto)akiwaonyesha sungura watoto wa Kijiji cha Matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima ambao aliwaalika nyumbani kwake Mjini Dodoma,Julai 12, 2009 Picha na maelezo kwa hisani ya Haki Ngowi
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako