Ni bora hata ungeenda kanisani kuliko kucheza na Beberu, Wewe sio mbuzi,inakuwaje wataka kupigana nae vichwa, akikupasua hicho kichwa je? Wapendanao haooooooooooo, nao waelekea Kanisani wewe je? Au jana ilikuwa hivi nini?
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Jumapili njema nawe pia
ReplyDelete