Rais Obama na Familia yake wakishuka toka kwenye ndege yao AIR FORCE ONE katika siku ya kwanza ya ziara yake Kusini mwa jangwa la Sahara nchini Ghana jana.

Akibadilishana mawili matatu na Rais wa Ghana

Akihutubia Wabunge na waalikwa katika Ukumbi wa Bunge Ghana
No comments:
Post a Comment
Maoni yako