Siku za wiki Coco Beach panakuwa pametuliaaa Coco Beach weekend inafurika watu wakifurahia upepo mwanana. Jitahidi nawe uende weekend hii.Walio ughaibuni wanayamiss sana mazingira kama haya.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako