Basi la mtandao likisubiri walipa kodi waje kubofya Madhari ya Ndani ya basi la mtandao.Kwenye ile pazia ya blue ni kachumba kwa ajili ya kufundisha bure matumizi ya mtandao Hili ni basi jingine nchini China
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
inapendeza sana picha nzuri
ReplyDeleteNi kweli inapendeza ukilinganisha na nilivyoona sehemu nyingine. Ni huduma nzuri!
ReplyDeleteAsanteni wadau kwa maoni na pongezi. Nawaombea mafanikio katika kazi zenu pia
ReplyDelete