Tangu jana Irene Uwoya amechukuliwa jumla na kihalali na Mchezaji maarufu wa kimataifa Bw.Ndikumana.(Pichani)Mr. & Mrs Ndikumana wakivishana pete za ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar-es-salaam jana, Picha zaidi baadae kwa ruhusa ya wandoa hao Hakuna cha Benzi wala Limmousinne, usafiri simple tu Mwendo kwa Ngamia, mke mbele, bwana nyuma juu ya ngamia. Picha kwa hisani ya Global Publishers
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Hongereni sana wanaharusi au niseme mke na mume na nawatakia maisha mema katika ndoa yenu.
ReplyDeleteKila la heri Irene Mungu aibariki ndoa yenu
ReplyDeletei wish u irene a gud lucky with ur husband and gud life and also i want 2 be a kind women
ReplyDeletebyeeee
hongeren
ReplyDelete