Wednesday 21 October 2015

RAIS KIKWETE AKABIDHI MAGARI 399 KWA JESHI LA POLISI NCHINI

Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako