Sunday 4 October 2015

HILI NALO :"HAWAJAFANYA LOLOTE!"

VIDEO: Lowassa alivyosema akiwa CCM

Marais Uhuru Kenyatta (Kenya) na Jakaya Kikwete (Tanzania) leo wamezindua rasmi ujenzi wa Barabara ya lami kutoka Arusha hadi Mpaka wa Holili (Mkoani Kilimanjaro) kwa upande wa Tanzania na Taveta hadi Voi (nchini Kenya)
Ujenzi wa barabara hii na nyingine ni sehemu ya Mpango wa Uendelezaji wa Mtandao wa barabara za Afrika Mashariki (The East African Road Network Project - EARNP) ambao Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliuandaa

No comments:

Post a Comment

Maoni yako