Sunday 11 October 2015

KAMPENI 2015 KAAAAZI KWELI KWELI

YAJUE MAAJABU YA TANZANIA NA WATU WAKE.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.
2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.
4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.
5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya CCM.

😳NACHOKA MIE 😳

No comments:

Post a Comment

Maoni yako