Saturday 17 October 2015

HUZUNI YATAWALA KUWAAGA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE


Mgombea wa Uraisi CCMM Dk.magufuli akimpa pole mke wa Marehemu bibi Sarah Filikunjombe katika hospitali ya Lugalo
mke wa marehemu akionekana mwenye huzuni baada ya kupokea taarifa za kifo cha mumewe
familia ya marehemu siku Mhe Dk Magufuli alipofika hapo nyumbani kwao Kijichi-dar akiwa na Marehemu Deo (juu Mke chini watoto)
Dkt Magufuli alishindwa kujizuia kutoa machozi ya huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
Nyumba ya Marehemu Deo Filikunjombe ambayo inasemekana imekamilika hivi majuzi na amekaa muda usiozidi wiki 3.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako