Saturday 3 October 2015

MIE NAJIULIZA........

Je mfano Mhe.Lowassa asiposhinda urais 2015, huyu mwanamama hii nguo ataivaa tena au ndo itakuwa dekio? Kwa hakika uchaguzi wa mwaka huu kaaaazi kweli kweli

No comments:

Post a Comment

Maoni yako