Friday 16 October 2015

MSIBA: MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA RUBANI WAKE WAFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA

Chopa ya CCM iliyokuwa imembeba mhe.Deo Filikunjombe kutokea Dar kwenda Ludewa, jana jioni ilianguka katika Hifadhi ya Selous na leo Meya Jerry Silaa ameandika kwa masikitiko kuwa Baba yake ambaye ndio alikuwa Rubani wa hiyo Chopa pamoja na abiria wengine akiwepo Mbunge Deo wamefariki dunia. Hili ni pigo kubwa.
Taswira za kuhuzunisha kutoka eneo la tukio

No comments:

Post a Comment

Maoni yako