RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amempongeza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda kwa juhudi anazofanya katika ziara yake kwa kusikiliza kero za Wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam. Rais Magufuli ambaye alimpigia mkuu huyo wa mkoa wakati alipokuwa akisikiliza kero za Wananchi katika Kata ya Mbezi Luis eneo la Malamba Mawili ambako aliweza kumsisitiza kuwa aendelee kutumbua watu huko huko aliko.
BENKI YA NMB PLC YAORODHESHWA MOJA YA BENKI 40 BORA AFRIKA
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako