Friday 17 June 2016

MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO

Wakati tukijionea matukio mbalimbali ya utovu wa nidhamu,umaskini na uvunjifu wa amani katika jamii,ni dhahiri msemo huu wajidhihirisha. Mtoto akilelewa vizuri,hukua vizuri katika nyanja zote za maisha. Lakini asipolelewa vizuri ni chanzo cha vurugu katika jamii

No comments:

Post a Comment

Maoni yako