Daraja hili lililopo nje kidogo ya Tukuyu Wilayani Runwe huko Mbeya ni moja ya maajabu ya Mungu. Historia ya watu wa maeneo hayo yasema kuwa hapo mwanzo hakukuwa na daraja sehemu hiyo na hivyo walikuwa wakihangaika sana kujenga daraja ili waweze kuvuka ng'ambo. Chaajabu kila walipokuwa wanajenga kwanyza hawamalizi na kesho yake wakija wanakuta limebomoka. Siku moja walikuja wakakuta lilivyo leo na hivyo kuamua kuita hilo ni Daraja la Mungu maana hawakujenga kwa mikono yako.
NEEMA YA UMEME YASHUKA MWAMBAO WA ZIWA NYASA
3 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako