Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mchezaji wa kikapu wa kulipwa nchini
Marekani, Mtanzania Hashim Thabeet, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar
es salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu lengo na mpango wake
wa kuanzisha na kukuza michezo pamoja na vituo vya Michezo
hapa Nchini.
WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO UONGEZAJI THAMANI MADINI ADIMU
16 minutes ago



No comments:
Post a Comment
Maoni yako