Friday 24 June 2016

DK REGNALD MENGI ATOA MILIONI 70 KUCHANGIA MADAWATI

Mkurugenzi wa IIP Mdia Group Mhe.Dk Regnald Mengi ametoa mchango wa TZS Milioni 70 kusaidia ununuzi wa madawati katika shule za Wilaya ya Handeni na Bagamoyo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako