Wednesday 3 February 2016

MAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA KITUO CHA WAZEE NA WALEMAVU KIGAMBONI

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mhe.Mama Janeth Magufuli akisalimiana na baadhi ya wazee wakazi wa Kituo hicho
Aidha ameziomba Taasisi mbalimbali na watu binafsi kujitolea kusaidia Vituo kama hivi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako