FIFA imemchagua Mhe. Gianni Infantino kutoka Uswisi kuwa Rais Mpya wa FIFA kuchukua nafasi ya Sepp Blatter aliyeachia ngazi kwa kashfa mbalimbali. Mhe Gianni alikuwa Katibu wa UEFA alipata kura 115 dhidi ya mpinzani wake Shekh Salman al Khalifa. Rais huyu mpya ameahidi kurudisha heshima ya FIFA.
SJMT NA SMZ ZAWEKA MIKAKATI KUIMARISHA MUUNGANO
43 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako