Tunaipongeya serikali kwa juhudi kubwa kuhakikisha Nishati ya Umeme kupitia mpango wa REA inawafikia wananchi wengi hasa wa Vijijini. Ila mie kwa muonekano wa huduma hizi zinavyotolewa napata maswali. Mojawapo ni je Hawa wahusika wwatoaji huduma hii wamekuwa pia wakiyingatia suala la USALAMA kwa namna wanavyounga Umeme huo. Mdau hebu nawe jaribu kuchambua kwa mwonekano wa picha hizi kutoka Kijiji kimoja huko Tanga
Wananchi Wahimizwa Kujiunga na Hifadhi Skimu
19 minutes ago



No comments:
Post a Comment
Maoni yako