Yaani hawa wezi wamepokea kipigo kwa kweli mpaka sura zimefanana. Hii sasa kali.
Angalisho: Pamoja na kwamba weyi au ujangili ni uhalifu lakini raia tujitahidi tusichukue sheria mkononi mfano kuwapiga na hata wakati mwingine kupelekea kifo. Vipo vyombo vya Dola tuviachie kazi hiyo.
MIGOGORO YA BIMA ZA KILIMO KUTATULIWA NA TIO
1 hour ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako