Sunday 11 October 2015

MHE.LOWASSA AONYESHA KUKUBALIKA VIZURI TARIME

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 10, 2015

No comments:

Post a Comment

Maoni yako