Tuesday 13 October 2015

KIWANDA KIKUBWA CHA SARUJI CHA DANGOTE HUKO MTWARA CHAZINDULIWA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

No comments:

Post a Comment

Maoni yako