"Sihitaji utajiri, siutafuti, sina haja nao. Miaka yote nimekuwa muadilifu na kumtanguliza Mungu mbele katika kuwatumikia Watanzania. Nitabaki kuwa hivyo kama Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi ni kazi tu katika kuhakikisha maisha ya Watanzania yanabadilika." - Dkt John Pombe Magufuli
Watu 600 kushiriki semina ya AAT Moro
8 hours ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako