Tuesday 16 June 2015

RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA HUKO AFRIKA KUSINI

Mhe rais Kikwete akipanda jukwaani kwa ajili a kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini
Wajumbe katika mkutano huo wa 25 wa umoja wa Ncchi za Afrika

No comments:

Post a Comment

Maoni yako