Monday 8 June 2015

JE HUU NI UUNGWANA?

Tunapoianza wiki hii, tutazamame picha hii na kuijadili. Mie kwa maoni yangu huu sio uungwana na haipaswi tuishi hivi. Hakuna uwiano katika utumishi hapa. Tubadilike na kuwa watu tunaowaza wengine na hata viumbe wanaoyusaidia.

1 comment:

  1. Hakika nakubaliana nawe kaka huu si uungwana kabisa yaani bado tu tumelala..Ebu angalia huyo mama anavyoteseka ....si haki kabisa

    ReplyDelete

Maoni yako