Sunday 7 June 2015

BARCELONA WASHINDI UEFA CHAMPIONS 2015 HUKO BERLIN-GERMANY

Timu ya Barcelona imeifunga Juventus mabao 3 kwa 1 katika Fainali za UEFA CHAMPIONS zilizofanyika huko Berlin Ujerumani na kuchukua kombe hilo kwa mwaka 2015
Mchezaji Evra wa Juventus akichuana vikali na mchezaji Messi wa Barcelona katika Fainali hizi
Wachezaji nyota Messi na Neymar na mbwembwe zao

No comments:

Post a Comment

Maoni yako