Wananchi wa kabila la Maasai wakiruka juu katika moja ya michezo yao ya kijadi. Je wewe unadumisha mila zilizo njema ili upate cha kuwarithisha watoto na kizazi kijacho?
Waweza pia kudumisha mila kwa kupenda chakula kinachotokana na mazao asilia.
Maboga
Mihogo ya kuchemsha
Rais Dkt Samia amkumbuka nguli Zahir Zorro
37 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako