Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Bigbon Sinza Mori na kuiba, ila katika kutaka kuondoka kuelekea kwenye gariu lao wakadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi. Hapa ndo ule msemo wa 'Za mwizi arobaini' umetimia kwao.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
11 hours ago
.jpg)

No comments:
Post a Comment
Maoni yako