Timu ya Bayern Munich ya huko Ujerumani imefungwa bao 3 kwa bila na Timu ya Barcelona katika mchezo wa nusu fainali. Mabao 2 yalifungwa na mshambuliaji makini Lionel Mess na la tatu lilifungwa na Neymar. Sasa Barcelona watakutana na Juventus katika fainali huko Berlin Ujerumani.
MERIDIANBET MZIGO WA KUTOSHA JUMAMOSI HII
19 hours ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako