Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais , wabunge na madiwani yasemekana maisha yamepinga na kunyong'onyea kama kiatu hiki. Ya kweli hayooooo Ila kwa upande mwingine wa shilingi, watu wanazidi kujazia (tazama picha)
KUPUNGUA KWA MVUA KWALETA NEEMA KWA WANANCHI
3 minutes ago
ha ha ha ha ha!! kaazi kwelikweli hapo kweli yamepinda na huo mjazo mmmhhmweeeH!!
ReplyDelete