Wednesday 22 September 2010

TULIKOTOKA NI MBALI

3 comments:

 1. Kweli na haka kapicha kako bado unako...mmmh, wengine hatujui tumevitupa wapi...kweli ukikumbuka maisha ni kama ilitokea jaaana!
  Ulikuwa ukiita `mtoto, ikaja `we kijana' sasa baba nanihii, au babu..mmmhhh, mwisho wa siku unapewa jina ambalo kila mmoja analiogopa!

  ReplyDelete
 2. Kweli jamani kama kweli hapo zamani kungekuwa na kufotoana mipicha kama sasa na halafu tungerudi nyuma na kuangalia jinsi tulivyokuwa maisha ya utotoni sijui tungependa au? Ila mimi nina hakika ningependa kwa vile napenda zamani...lol

  ReplyDelete
 3. ua ryt kwel kaka 2metoka mbali sana....!

  ReplyDelete

Maoni yako