Sunday 12 September 2010

MISS VODACOM TANZANIA 2010


Geneviev Emmanuel ndiye mshindi wa mwaka 2010 wa Miss Vodacom Tanzania.Ni kutoka Kitongoji cha Temeke. Fainali za mashindano hayo zilifanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City-Mwenge DSM. Mshindi wa Pili alikuwa Glory Mwanga toka Arusha na wa Tatu ni Consolata Lukosi kutoka Ilala

1 comment:

  1. Twampa hongera na kumtakia mafanikio mema, na twataraji kuwa TZ haitakuwa kichwa cha mwendawazimu!

    ReplyDelete

Maoni yako