Tuesday 21 September 2010

MAMBO HAYO

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais , wabunge na madiwani yasemekana maisha yamepinga na kunyong'onyea kama kiatu hiki. Ya kweli hayooooo Ila kwa upande mwingine wa shilingi, watu wanazidi kujazia (tazama picha)

1 comment:

  1. ha ha ha ha ha!! kaazi kwelikweli hapo kweli yamepinda na huo mjazo mmmhhmweeeH!!

    ReplyDelete

Maoni yako