Monday 13 September 2010

BLUE MONDAY


Ni wiki imeanza baada ya pilikapilika za Eid el Fitr na mapumziko marefu ya mwisho wa juma la sikukuu. Tayari katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dar watu ni busy. Dada huyu anaonekana akitafuta maji kwa matumizi ya nyumbani. Lakini angalia anavyosota. TANZANIA KWA HALI HII TUTAFIKA KWELI.

1 comment:

  1. Yote maisha, lakini hapa Bongo mengine tutayafumbia macho na mwisho wa siku sisi ndio waumiaji. Wapo wabunge waliahidi `maji-ya bomba, wapo waliahidi matengenezo ya barabara' lakini hata chembe hawakufanya, na bado wapo kwenye kinyanganyio na bado tutawapigia...akina mama nyinyi ndio mnaoumia sana, hakikisheni kura zenu mnawapa watu wenye nia njema na maendeleo yenu...

    ReplyDelete

Maoni yako