Thursday, 5 November 2015

KITENDAWILI CHA WAZIRI MKUU WA DK. MAGUFULI

Ikiwa imebaki siku moja Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongozwa na Rais wa awamu ya tano ikifuatiwa na uteuzi wa mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali (Waziri Mkuu)

Unadhani nani atateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

No comments:

Post a Comment

Maoni yako