Friday 9 May 2014

KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI

Wakati mwingine navutwa kuamini kuwa nayejua mateso na mahangaiko ya mhitaji ni yule aliyepitia hali hiyo au yupo katika hali hiyo japo kwa kiwango tofauti kidogo. Hakina naamini mtu huyu anayetoa msaada huo anajisikia faraja sana moyoni kwa tendo hilo. Tuige ni mfano mzuri

No comments:

Post a Comment

Maoni yako