Monday 5 May 2014

ANZA WIKI KWA KUFANYA NDOTO ZAKO KUWA KWELI

Pamoja na mawazo mazuri ya kibunifu ya kufanya maisha yasonge mbele, usibaki umelala ila amka yafanyie kazi na yatakupa jawabu zuri. Juhudi muhimu katika kutekeleza ndoto zetu njema.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako